Wednesday, May 22, 2013

RAISI OBAMA NA MASTAA WENGINE WA MUZIKI MAREKANI WAIOMBEA OKLAHOMA ILIYOKUMBWA NA KIMBUNGA

Oklahomakupitia mtandao wa twitter rais obama wa marekani pamoja na wasanii mbalimbali kama alicia keys,,rihanna,,ketty perry,,chris brown na wengine wengi wamechukua jukumu la kuwafariji na kuwaombea wote walioathirika

No comments:

Post a Comment