Tuesday, May 28, 2013

MUUZA BANGI AMCHINJA POLISI

KIJANA mmoja mkazi wa Kurasini jijini Dar, Francis Huruma maarufu kwa jina la Big anayedaiwa kuuza madawa ya kulevya aina ya bangi, amemchinja polisi mwenye namba H.617 Anthony Pasco (22).

No comments:

Post a Comment