Tuesday, May 28, 2013

VURUGU ZA MTWARA; TAIFA LIPO KATIKATI YA MATUMAINI NA KUKATA TAMAA

GESI ni utajiri, vurugu huzaa maafa. Mtwara ni ghasia, chimbuko lake ni neema ambayo Mungu ametujaalia Watanzania. Sasa basi, kama uwepo wa rasilimali hiyo imegeuka mapigano badala ya faraja kwa uchumi wa nchi, ni wazi kwamba taifa lipo katikati ya matumaini na kukata tamaa (between hope and despair).

No comments:

Post a Comment