Monday, May 27, 2013

AJALI YA TRENI NA RAV4 YAUA MMOJA DAR ES SALAAM, TAZAMA PICHA YA AJALI HAPA

Taarifa zinasma kuwa ajali inayohusisha treni na gari ndogo aina ya Rav4 imetokea maeneo ya ukonga jijini Dar. Taarifa hizo zinasema kuwa ndani ya gari hilo kulikuwa na watu wawili, dereva (mwanaume) amefariki papo hapo na abiria (mwanamke) ambae you mahututi na amekimbizwa hospitali

No comments:

Post a Comment