Powered By Blogger

Friday, May 31, 2013

MTU MMOJA AFARIKI PAPOHAPO... AKIJARIBU KUDANDIA DALADALA LEO MAENEO YA ILALA BOMA, TAZAMA KILICHOJIRI HAPA

BREAKING NEWS: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATOKA. YATIZAME HAPA KWA URAHISI


1--  BOFYA HAPA

AU

                                2. BONYEZA HAPATanzania FlagNECTA'S LOGO

USHER AFUNGUKA KUHUSU MISUKUSUKO INAYOMWANDAMA JUSTIN BIEBER BIEBER

usher_grammy_engagement_rumouJustin-Bieber-Won-Billboard-Music-AwardsBaada ya msanii Justin Bieber kuwa katika vichwa vya habari vya media mbalimbali kwa matukio ambayo si mazuri katika siku za karibuni, Msanii wa Muziki Usher Raymond ambaye pia ni kaka mlezi na kiongozi wake, ameongelea swala hili na kusema kuwa anaelewa misukosuko ya Bieber kutokana na ukweli kuwa kwa sasa yupo katika umri wa mambo mengi wa ujana......Usher amesema kuwa, mtu yoyote angeweza kufanya kama Bieber ama hata zaidi katika umri kama ule na hatari zaidi, akiwa anafuatiliwa na mapaparazzi kwa karibu.
Bieber amekuwa mada ya majadiliano mbalimbali katika tasnia ya burudani hasa baada ya tukio la kuzomewa na mashabiki wakati akipokea tuzo za Billiboard, kulalamikiwa na majirani zake kwa uendeshaji mbovu wa magari na matukio mengine mengi yanayofanana na hili.

DIAMOND AENDELEA KUWEKA WAZI MAISHA YAKE YA KIMAPENZI, HIKI NDO ALICHOKISEMA. SOMA HAPA

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameibuka na kuelezea kuhusu uhusiano wake na mpenzi wake zilipendwa, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ambaye ni mwigizaji na modo moto wa kuotea mbali Tanzania

Akizungumza kwa uhakika kabisa, Diamond alisema inampasa amuombe radhi Jokate kwa sababu katika uhusiano wao, Jokate hakuwahi kumkosea ila yeye ndiye tatizo na chanzo cha kuachana kwao.
DIAMOND ANAFAFANUA

“Inanipasa nimuombe radhi Jokate. Ni kweli nilimtenda vibaya wakati wa mapenzi yetu. Hakukosea sana maana hakuwahi kufanya jambo lolote kinyume. Sijui niseme nini lakini nataka kueleza wazi kuwa mimi ndiyo sababu ya kuachana kwetu na ilitokea tu.

“Naamini hilo jambo lilimuuma sana, maana nakumbuka wakati ule, baada ya mimi kurudi kwa Wema (Sepetu), watu walimwandama sana kwa maneno na alionekana msaliti lakini ukweli ni kwamba nilimpenda sana lakini ndiyo hivyo, siwezi kufafanua zaidi.
“Kutoka moyoni mwangu, namuomba msamaha Jokate, kama hatanisamehe nitaendelea kumuomba mpaka naingia kaburini. Sina raha kabisa kutokana na jambo hilo. Lazima niwe mkweli.”

JACQUELINE WOLPER

Diamond alikwenda mbali zaidi na kuwazungumzia baadhi ya wasichana aliowahi kutoka nao kimapenzi akiwemo mwigizaji Jacqueline Wolper ambaye alisema ni mwanamke aliyempenda sana, ndiyo maana alimtungia wimbo wa Mawazo.

PENNY SASA

Kwa upande wa mpenzi aliye naye sasa, Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Penieli Mungilwa ‘Penny’ alisema ni mwanamke mtulivu na sahihi kwake kwa sababu anatambua majukumu yake kwake, pia anamheshimu.

“Huyu kwa kweli ana karibu sifa zote alizonazo Wema ila uzuri wa Penny ananiheshimu sana. Hafanyi mambo yake hadharani. Unajua wakati nikiwa na Wema hata kama akifanya mambo yake siku mbili au tatu baadaye nayaona kwenye magazeti, tofauti na Penny ambaye kwangu mimi naona ananiheshimu, hata kama anafanya mambo yake ni kwa siri.

REST IN PEACE NGWAIR - PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Thursday, May 30, 2013

CHEKI PICHA YA CHAMELEONE ALIPOTEMBELEA KABURI LA BRUCE LEE LILILOPO NCHINI MAREKANI

Chameleone Visits Bruce Lee's Grave in Seattle

Chameleone is on a 'US Badilisha Tour' and while there, he made a visit to the Bruce Lee Grave site to pay his tribute to the fallen martial arts film star who died in 1973. Bruce Lee's grave is next to his son, Brandon Lee who died in 1993.

"Off to the USA for my 2013 Tour of North America...ama miss my wife, my babies Abba, Alfa & Alba. Ama miss you my pipo. But sometimes, a man got to do wat he has to do." Chameleone noted on his wall.

HIVI NDIVYO MWAKILISHI WETU KATIKA BBA ALIVYOJIACHIA BAFUNI NA DILISH. WACHEKI HAPA


Jana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big brother Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata muda wa kuwa romantic na kuonesha upendo (Romantic time). 

 Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Huenda huu ukawa mwanzo wa mahusiano yao humo ndani kwa sababu moyo hauna pazia na uruzi wa Dillish unaweza kumvuta to the limit model huyo wa kitanzania.

KUA WA KWANZA KUCHEKI PICHA ZA MAMA LULU, MAMA KANUMBA, LULU NA WENGINE WAKIFANYA SHEREHE YA PAMOJA

Will Smith: Don’t Compare My Family to the Kardashians

Will Smith is looking out for son Jaden, both on-screen and off.
Vulture recently sat down with the "After Earth" stars, and asked the father-son duo if they see themselves similar to - or different than - the Kardashians, in the sense that they treat their fame as the family business.
Will, laughing, held up his hand for Jaden not to speak: "Don’t. You know, he’s never had to, to deal with those kinds of questions."
"'So how do you think your life is similar or un-similar to people’s names in Calabasas?'" Will asks back to the interviewer seemingly "mocking" them. "For our family, the entire structure of our life, our home, our business relationships — the entire purpose is for everyone to be able to create in a way that makes them happy. Fame is almost an inconsequential by-product of what we’re really trying to accomplish."
Continued the elder Smith:
"We are trying to put great things into the world, we’re trying to have fun, and we’re trying to become the greatest versions of ourselves in the process of doing things we love. So the idea of fame or exploitation or orchestrating the media is sometimes even less than desirable for us."

Iron Man Revealed As … Jaden Smith!?

Watch your back, Robert Downey Jr.Jaden Smith is hot on your franchise.
The spawn of Will and Jada was spotted on the streets of New York on Wednesday, rocking Downey's famous "Iron Man" suit.
The young rapper and actor isn't gunning for a spot in the Marvel universe just yet, rather, he’s just playing around with some pals and rumored girlfriend Kylie Jenner.

Wednesday, May 29, 2013

Justin Bieber Driving Drama Builds While He Kicks Back at Hockey Game


When the going gets tough, teen stars … hide in their mansions. That's today's lesson from Justin Bieber, whose latest run-in with his neighbors seems to be escalating from bad to worse as more details emerge.

Earlier this week, residents of Calabasas, California, a family-oriented community just north of Los Angeles, called the authorities on the pop star (again) for allegedly speeding his white Ferrari through a 25 mph zone. Among the witnesses was Keyshawn Johnson, who happened to be outside with his 3-year-old daughter when Bieber flew by.

HIZI NDIO PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUCHAGUA WANAKAMATI WATAOSIMAMIA TARATIBU ZA MAZISHI YA MAREHEMU NGWAIR

CHECK OUT PICHA 12 ZA DIAMOND NA CHEGE WAKIRECORD WIMBO WAO MPYA UTAOTOKA HIVI KARIBUNI. TAZAMA HAPA

HIKI NDICHO WALICHOCHAT WEMA SEPETU NA NGWAIR SIKU CHACHE KABLA YA KIFO, NI KUUSU KAJALA KUONEKANA KATIKA VIDEO MPYA YA MAREHEMU NGWAIR

Maongezi yao yalikuwa hivi.
Mangwea : kuku bandani..
Mangwea : Nataka Kajala…
Mangwea : Sikiza nyimbo then utanipa idea..
Mangwea : Nataka tukipiga hela kwa bro…
Mangwea : Tulipe na hela ya ticket ya Jux aje toka China tumalize huku kusini
Mangwea : #hugs
Wema Sepetu : Upo api?
Mangwea: Me nipo Pretoria now momo…

KIMENUKAAA......P FUNK AKATAZA NYIMBO ZA MANGWEAR ZISIPIGWE CLOUDS FM

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA KUZIKWA MOROGORO


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCHGPOeSUS3P0C8INEK9ZJSQ8ncij07GFpkuUjA1YY01duBE4kYSQGGHpeNrpgUw2b2q7STsMivZviciid0SBtKPr6h91A0hYfjY_Dzm4Ai1FB-w-Hw4evTb_Nbp5qSYavoChlaQW50wss/s320/mangwea3.jpg KWA MUJIBU WA NDUGU WA MAREHEMU ALIYEKO MKOANI MARA AKIONGEA NA RADIO EA AMESEMA WAO KAMA WANAFAMILIA WAMEKUBALIANA MWILI WA MAREHEMU UZIKWE MOROGORO.

R.I.P MANGWEA!

Tuesday, May 28, 2013

MAMA NGWAIR: MWANANGU ALINIAHIDI KURUDI IJUMAA ILIYOPITA

Akiongea kupitia kipindi cha Amplifire cha Clouds FM, kutoka mkoani Morogoro, mama mzazi wa msanii Albert Mangwair aliyefariki dunia leo akiwa nchini Afrika Kusini, amesema kuwa mara ya mwisho kuwasiliana na marehemu ilikuwa wiki mbili zilizopita ambapo Mangwair alimwambia kuwa mzima na anaendelea vizuri na kwamba angerejea nchini Ijumaa iliyopita. Aliongeza kuwa taarifa za kifo cha mwanaye amezipata jioni hii kwa masikitiko. Wakati Mangwair anaelekea Afrika Kusini hakumuaga mama yake japo akiwa huko alikuwa anawasiliana naye. Kuhusu taarifa za mazishi mama Mangwair amesema bado anasubiri shemeji zake wafike ili wapange

TAZAMA TWEET ZA JAMAA ANAYESEMA KUA NGWAIR HAJAFA, ZICHEKI HAPA

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA BUSHOKE AKIWA SOUTH AFRIKA KUHUSU KIFO CHA NGWAIR, SOMA HAPA

429782_582455318465187_1421897743_nKuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa kuwa Mangwea alikuwa pamoja na mtu aitwaye M TO THE P ambaye naye yupo mahututi kwa sasa....Hata hivyo mwenyeji wa rapper Albert Mangwea aliyefariki leo jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, amesema hit maker huyo wa Mikasi amefariki akiwa usingizini.....
Akiongea na Clouds FM muda mfupi uliopita, mwenyeji huyo aitwaye Jonathan amesema usiku wa kuamkia leo Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka.
“Sijui hata huko alitumia nini,” amesema.
Ameongeza kuwa asubuhi kulipokucha aliondoka kuendela na mishemishe yake na alipokuwa huko wenzake walimpigia simu kumtaarifu kuwa wamempeleka hospitali ya St. Helen ya jijini humo kwakuwa alikuwa bado hajaamka na ndipo walipogundua kuwa ameshafariki.
Hata hivyo amesema hakuweza kujua sababu za kifo cha Ngwair kwakuwa maelezo ya daktari yalikuwa kitaalam kiasi cha kushindwa kuelewa. Ngwair alikuwa amepanga kurudi leo nchini.
Awali Bongo5 ilizungumza na Bushoke anayeishi jijini Pretoria ambaye amesema alikuwa akutane naye leo jijini Johannesburg lakini alishangaa kutompata kwenye simu. Amesema baada ya kuwatafuta washkaji ambao ni wenyeji wake ndipo walipomuambia kuwa Ngwair amefariki.
“Unajua Ngwair ni mshkaji wangu sana yaani hata siamini kama amefariki aisee,” amesema Bushoke.
Bushoke amesema kesho amepanga kwenda Johannesburg kujionea mwenyewe.
Taarifa za kifo cha Ngwair zimepokelewa kwa mshtuko na watu na makampuni mbalimbali nchini yametuma salamu za rambi rambi kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

#BREAKING: Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo


#BREAKING: Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala. taarifa zaidi zinaendelea kuja #R.I.P

ADAM MCHOMVU APOST PICHA ZA UCHI ZA LADY JAY D FACEBOOK, WATU WAMSHAMBULIA ILE MBAYA. SOMA HAPA

UZINZI WALITIKISA KANISA KATOLIKI, HIKI NDIO KINACHOENDELEA

http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/Askofu-Mkuu-wa-Jimbo-Katoliki-la-Dar-es-Salaam-Mwadhama-Polycarp-Kardinali-Pengo.jpgHALI ya hewa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Tabata, jijini Dar es Salaam si shwari hata kidogo kufuatia baadhi ya waumini kumtuhumu Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji, Faustin Mchanuzi kwamba ana ‘nyumba ndogo’ anayoitembelea kila mara hivyo aachie ngazi kwa sababu kitendo hicho ni uzinzi, Uwazi linakupa hatua kwa hatua....