Thursday, May 16, 2013

HIKI NDICHO KIASI ALICHOVUTA MWANA F.A KWA KUUZA RBT.....KWELI HIP HOP INAUZA

Kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe....
 ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi
karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka
kampuni moja ya kuuza miito ya simu aka RBT
yanayofikia shilingi za kitanzania milioni 18.

No comments:

Post a Comment