Saturday, May 18, 2013

MAMA SHARO... AAMBULIA PATUPU KWENYE AKAUNTI YA MWANAYE


Maskini! Mama mzazi wa aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na muziki Bongo, Marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufunga safari kutoka Tanga hadi Dar kwa ajili ya kushughulikia fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya mwanaye na kuambulia patupu.

No comments:

Post a Comment