Monday, May 20, 2013

BREAKING NEWS: BUNGE LASITISHWA KWA MDA DODOMA KISA KAULI HII ALIYOITOA SUGU. SOMA HAPA

waziri kivili wa whvum Joseph Mbilinyi akiwasilisha hptuba ya makadirio-Kambi rasmi ya upinzaniKauli kwenye hotuba hiyo iliyobabisha spika wa bunge asitishe shughuli za leo hadi jioni ilisema, “Tanzania imegeuka chini ya usimamizi wa wizara ya serikali hii ya CCM kuwa taifa linalotoka nyara wanahabari, kuwatesa, kuwangoa kucha na meno, kuwatoboa macho, kuwamwagia tindikali na hata kuwaua.”
Spika amesitisha bunge hilo ili kupata muda wa kuipitia hotuba hiyo kuondoa kauli za uchochezi.

No comments:

Post a Comment