Friday, May 17, 2013

JAH RULE AMETOKA JELA NA MVUTO WA HATARI

Rapper Jah rule ametupia picha yake kupitia mtandao wa instagram ikimuanyesha akiwa na mwili wa mazoezi tofauti na alivyoingia jela. inaonekana alikua akipiga chuma wakati akitumikia miaka yake miwili aliyokuwa amefungwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria na tax evasion

No comments:

Post a Comment