Taaarifa
kutoka Iringa zinasema mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema),
Mchungaji Peter Msigwa amekamatwa na jeshi la polisi na yuko chini ya
Ulinzi.Mchungaji Msigwa amekamatwa kwa amri ya Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Michael Kamuhanda kwa madai kwamba anawaunga mkono wafanyabiashara ndogondogo wa manispaa hiyo 'Machinga' wanaopambana na polisi wanaowakataza kufanya biashara mjini.

No comments:
Post a Comment