Saturday, May 18, 2013

KWA MASHABIKI WA DIAMOND, MKAE MKIJUA KUA DIAMOND ATAOA SIKU SI NYINGI, HUU NDO USHAHIDI WA HILI


http://3.bp.blogspot.com/-7_ZNw9Oygj4/UYTcJhFaLZI/AAAAAAAAGJs/VSim5EztCmI/s1600/diamond.jpgEsma Abdul ambae ni dada yake mwimbaji staa wa Tanzania, Diamond Platnums, amesema wamejiandaa vizuri kwa ajili ya harusi ya Diamond ambae anatarajiwa kumuoa mtangazaji wa TV aitwae Penny.

Esma ambae anaishi nyumba moja na kaka yake amesema, "Tumemkubali sana wifi yetu na tunampenda kwa sababu mtu yeyote mimi nitakaetambulishwa siwezi nikamkataa, manake nikimuingilia kwenye mapenzi yake na yeye ataniingilia kwenye mapenzi yangu."

No comments:

Post a Comment