Saturday, May 18, 2013

NEY WA MITEGO KUITWA BABA SOON, HUYU NDO MAMA KIJACHO WAKE. MCHEKI HAPA

b89c11b6b7ab11e286be22000a9f139c_7Kupitia Instagram Nay aka True Boy ambaye hivi karibuni amekuwa dhahabu kwenye show za promotion za makampuni ya simu, amekuwa akishare picha za msichana ambaye kwa mujibu wake ni ‘Mama Kijacho Wake’. “Mic u mama kijacho wanguuuuuuuu…” aliandika hivi karibuni kwenye picha ya msichana huyo.

No comments:

Post a Comment