Wednesday, May 22, 2013

BADO KUNA UTATA WA TOUR YA JAY Z KUJA BONGO, KUNA UWEZEKANO ASIJE. SOMA HAPA

Bado wataalam wa mambo wanaendelea kutofautiana kuhusu ratiba ya Tour ya Jay – z iliyotolewa na Billboard hivi karibuni katika ratiba hiyo imeandikwa Jay z atatua katika miji 7 ya Africa ikiwemo jiji la Dar es salaam Oktoba 4 mwaka huu pale Diamond Jubilee. Ratiba hiyo inatia shaka kwa sababu Jay z aliperform tarehe na mwezi kama huo Dar es salaam mwaka 2006 na katika website ya Jay za ametoa ratiba ya Tour zake laini ameishia kuandika mwezi Septemba hajaandika mpaka Oktoba kama walivyoandika Billboard.

No comments:

Post a Comment