Wednesday, May 22, 2013

BAADA YA TID KUTEMWA TUZO ZA KTMA, SASA KAPATA SHOW NCHINI UINGEREZA SIKU YA FAINALI ZA KTMA. HUYU NDO MSANII MKUBWA ATAEKUA NAE UK

581935_10151686509932642_886089228_n
TID hatokuwa na usiku mbaya June 8 wakati tuzo za Kili zitakapokuwa zikitolewa kwakuwa atakuwa mbali akipiga show ya kimataifa na hitmaker wa Kigeugeu, Jaguar wa nchini Kenya......Hivi karibuni TID aliwalalamikia waandaji wa tuzo za Kili kwa kutoujumuisha wimbo wake kwenye tuzo za mwaka huu. Pia wiki iliyopita, alitangaza kujitoa kwenye list ya wasanii watakaomsindikiza Lady Jaydee kwenye show yake ya May 31.

No comments:

Post a Comment