Wanafunzi wa shule ya secondary Manzese wamekumbwa na hali ya kuanguka 
na kuzimia,mpaka sasa inadainatajwa wameshazimia wengi,chanzo cha hali 
hiyo bado hakijajulikana na wanaendelea kupatiwa huduma ya kwanza 
shuleni hapo bt hali ni mbaya na wanafunzi wanazidi kimia,
 
No comments:
Post a Comment