
Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie 
amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa
 uzazi.
 
Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie 
amesema alifanyiwa uchunguzi wa celi zake na kugunduliwa kwamba alikuwa 
katika hatari kubwa sana ya kupata saratani ya matiti. Ndipo akaamua 
kukatwa matiti yake mawili.
 
No comments:
Post a Comment