Tuesday, May 14, 2013

REGINALD MENGI KUTOA MILIONI 1 KILA MWEZI KWA TWEET ITAYOMKUNA KILA MWEZI, HII NDO JINSI YA KUJISHINDIA

Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya
haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!!
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP,
Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu,
atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila
tweet itakayomfurasha.
Not too fast though…… Sio tweet zile za ‘I’m
having fun being singe, #TeamSingle, tupa
kuleee! Mengi anataka ulikune jicho lake kwa
tweet yenye akili ambayo inaweza kuchangia
kwa namna moja ama nyingine kupunguza
umaskini uliokithiri nchini.
“Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka1 anzia
Mei ntatoa sh1m kila mwezi kwa tweet
nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na
umaskini,” ametweet leo.
Ameongeza kuwa Tweet hiyo iende kwake,
yaani mtu akiandika tweet afanye kummention
ili aione. That’s the way to go Mr. Mengi. Kazi
kwenye wazee Twira!!!

No comments:

Post a Comment