Saturday, May 11, 2013

LULU AITWA DUBAI

HABARI zilizonaswa na Amani zinaeleza kuwa nyota wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameitwa katika Jiji la Dubai, Falme za Kiarabu kwa ajili ya kula ‘bata’ ikiwa ni pole yake kwa kusota Gereza la Segerea kwa karibu mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment