Monday, May 13, 2013

AUNT: NIMERUDI NA FURAHA SAUZI

Akipiga stori na paparazi...., Aunt alisema takriban wiki moja aliyokutana na mumewe pande hizo ameitumia vilivyo kuinjoi na amekuwa mwepesi lakini akashindwa kufafanua kauli yake.

“Hahahaha! Sifafanui chochote bwana lakini elewa nimekuwa mwepesi baada ya kukutana na mume wangu, tumekula bata vya kutosha,” alisema…

No comments:

Post a Comment