Monday, May 13, 2013

MAKUBWA! AISHA BUI ASAKA WA KUZAA NAYE

KWELI haya ni makubwa! Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.

No comments:

Post a Comment