Saturday, May 11, 2013

AMOS MAKALA AJITOSA KUWAKUTANISHA JIDE, RUGE

NAIBU Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala amefunguka kuwa hafurahishwi na malumbano kati ya  mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na Bosi wa Clouds FM, Ruge Mutahaba hivyo amepanga kuwasuluhisha.

No comments:

Post a Comment