Friday, May 10, 2013

TFF YATAKA MAELEZO YA BARUA YA FIFA KWA DAUDA


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtaka Shaffih Dauda ambaye ni mmiliki wa tovuti ya www.shaffihdauda.com kutoa maelezo kuhusiana na barua ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) aliyoiweka kwenye mtandao…

No comments:

Post a Comment