Friday, May 10, 2013

BOMU KANISANI, MATESO JUU YA MATESO

WATU saba miongoni mwa sabini waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililorushwa na dereva wa Bodaboda, Victor Ambrose (20) katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Olasiti jijini hapa hali zao ni mateso juu ya mateso, Ijumaa limebaini.

No comments:

Post a Comment