 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya
 Kikwete, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) jana katika ukumbi 
wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM 
(Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na wengine kutoka 
kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu 
wa CCM, Abdulrahman Kinana. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imemteua
 mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chambani, Pemba

No comments:
Post a Comment