Friday, May 10, 2013

Mchezaji Azam azuiwa kucheza soka maisha

HUJAFA Hujaumbika, kiungo wa Azam FC, Ibrahim Bakari ‘Jeba’, hataweza kucheza soka tena baada ya kuzuiwa na madaktari.

Madaktari mahiri wa nchini India wamechukua uamuzi huo baada ya kumfanyia vipimo na kugundua kuwa ana tatizo kwenye ini.

No comments:

Post a Comment