Wednesday, May 15, 2013

BABA JONII KUTAMBULISHA MIXTAPE YAKE YA KWANZA SIKU YA BIRTHDAY YAKE KESHO MAY 16 2013

Adam Mchomvu a.k.a baba jonii Radio presenter clouds fm mwenye crown ya best presenter, anatarajia kutoa mixtape yenye  ngoma kumi na nane alioshirikiana na wasanii mbali mbali kama Jose Mtambo, Banana Zorro, Illimatix, Cliff mitindo, G.nako, Nikk war 2, Babuu war kitaa, TID, na wasanii wengine wengi kama zawadi kwa mashabiki wake ibaki kama kumbukumbu kwa kile anachokifanya hewani

No comments:

Post a Comment