Wednesday, May 15, 2013

WASHINDI WA DROO YA WESTERN UNION WAKWEA PIPA KUONA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Kutoka kushoto katika picha ya pamoja ni Meneja Masoko wa Benki ya Posta (TPB) Bw. Andrew Chimazi, Quraish Shindo (mshindi), Flora Mbuya (mshindi), Mratibu wa promosheni hiyo kutoka 24D Brand Communications Bi. Farida Makame, Mkuu wa Huduma za Usafirishaji Fedha wa Benki ya Diamond Trust (DTB) Bi. Chandni Jiwa na Bw. Patropa Ndanshao (mshindi) wakiwa uwanjani JNIA.  

No comments:

Post a Comment