Thursday, May 16, 2013

MASOGANGE: SIKWENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA

Masogange ambaye iliwahi kuvuja video yake ya utupu mwaka jana, alifafanua kuwa picha mpya zinazodaiwa kuwa ni za nusu utupu zilizozagaa mtandaoni, zilisababishwa na ulevi na si kweli kwamba ni za kujiuza.

No comments:

Post a Comment