MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, juzi Jumatatu hatimaye
yalimkuta baada ya kuibua simanzi nzito katika Mahakama ya Wilaya ya
Kinondoni, Dar, alipofikishwa baada ya kufunguliwa kesi ya madai namba
29/2013 na mabosi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga.
No comments:
Post a Comment