Thursday, June 20, 2013

MCHUNGAJI HUYU AKAMATWA NA WAUMINI BAADA YA KUGUNDULIKA KUWAPA MIMBA WAKE ZA WATU

MCHUNGAJI MMOJA WA KANISA LA CHURCH ELDERS OF FAITH MINISTRIES,,,ALIJIKUTA AKIVULIWA WADHIFA HUO MTAKATIFU,, BAADA YA KUGUNDULIKA KUWAPA MIMBA WAKE ZA WATU SITA KATIKA NYAKATI TOFAUTI TOFAUTI NDANI YA MWAKA MMOJA

No comments:

Post a Comment