Monday, June 10, 2013

Jose Mourinho Afunguka Kuhusu Sababu ya Kutoelewana Na Christiano Ronaldo,

Aliye kuwa kocha wa Real Madrid Jose Mourinho Amefunguka Kuhusu Sababu ya Kutoelewana Na Christiano Ronaldo, na kusema ni mchezaji anaye jidai anajua kila kitu ndio maana hatukuelewana kwa muda mrefu. Jose amesema Ronaldo hataki kukosolewa na ni mbishi, kama kocha siwezi kufanya kazi na mtu asiye taka kuwa bora kwa kuskiliza mafunzo yangu. Fahamu uwezo mkubwa wa Jose kushinda makombe huwa unatokana na mahusiano mazuri aliyo nayo na wachezaji wake.

No comments:

Post a Comment