Saturday, June 1, 2013

MASANJA NI NOMA! HII NDO BREAKFAST YAKE ANAYOPATA KILA SIKU ASUBUHI. MCHEKI HAPA

masanjaMaisha yamepanda siku hizi..inabidi tutafutee vitafwa vingine kwa ajili ya chai. Kawaida ushuani wanatumia mikate asubui na vitu vingine. Lakini kwetu uswazi ni maandazi,vitumbua na kalimati. Sasa ushauri aliutoa Masanja Mkandamizaji ni kuwa wabunifu kutumia vitanwa tofauti kama hivyo kwenye picha hapo chini.

No comments:

Post a Comment