Monday, June 10, 2013

JAGUAR AENDELEA KUTHIBITISHA NI JINSI GANI ANA MSHIKO WA KUTOSHA, HIKI NDO ALICHOFANYA

Jaguar
Katika picha aliyoiweka kulikuwa na Passport yake ili wasije kusema alitumia picha ya mtu mwingine, then cheni moja ya gold ya hatari, saa mbili za gharama, Samsung Galaxy note, Calvin Klein Cologne na noti za UK pound za kutosha.
Lakini Jaguar amedhihirisha hana kigeugeu katika swala zima la kujilinda, alikuwa na pakti moja ya condom aina ya durex, nadhani hii ndio iliyobaki, LOL!.
Hit maker wa ‘Kigeugeu’ Jaguar alikuwa akirejea Kenya baada ya kuvuka boda kama alivyoimba katika wimbo wake ‘Navuka boarder’ akitokea London Uingereza ambako alitumbuiza katika show moja na TID wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment