MAMA wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu, Hussein Mkiety ‘Sharo 
Milionea’, Zainabu Mkiety, bado yuko kwenye maumivu ya kudhulumiwa haki 
za mwanaye jambo linaloongeza simanzi moyoni mwake.,,,,mama huyo alidai kushangaa kuona wahusika waliokuwa wakifanya kazi na 
Sharo Milionea wanakaa kimya juu ya malipo ya kazi hizo ambazo marehemu 
aliacha akidai.
 
hahaha
ReplyDelete