Friday, December 27, 2013

MAMA SHARO AZIDI KULILIA HAKI ZA MWANAYE

MAMA wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu, Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’, Zainabu Mkiety, bado yuko kwenye maumivu ya kudhulumiwa haki za mwanaye jambo linaloongeza simanzi moyoni mwake.,,,,mama huyo alidai kushangaa kuona wahusika waliokuwa wakifanya kazi na Sharo Milionea wanakaa kimya juu ya malipo ya kazi hizo ambazo marehemu aliacha akidai.

No comments:

Post a Comment