YoungSam
BE UPDATED WITH YOUNGSAM contacts:0717-728226
Sunday, May 19, 2013
BREAKING NEWS: MCHUNGAJI PETER MSIGWA MIKONONI MWA POLISI
Taaarifa kutoka Iringa zinasema mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amekamatwa na jeshi la polisi na yuko chini ya Ulinzi.
Mchungaji Msigwa amekamatwa kwa amri ya Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Michael Kamuhanda kwa madai kwamba anawaunga mkono wafanyabiashara ndogondogo wa manispaa hiyo 'Machinga' wanaopambana na polisi wanaowakataza kufanya biashara mjini.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment